Jumatano, 26 Julai 2017

Kulingana na wanafunzi wengi kuona masomo ya sayansi no magumu, napenda kuwatia moyo kuendelea kupambana ili kufanikiwa kusoma kwa bidii masomo hayo, maana fulsa nyingi ambazo zinahitajika kwenye nchi zinazoendelea no kusoma masomo hayo, ikiwemo
Physics
Biology
Chemistry
Basic mathematics
Geography
Na blog yetu itahusu uhamasishaji juu ya elimu, na pia itaendesha mijadala ya somo la biology na chemistry, na mtaalam wetu Dr Joseph chula

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni